Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 500,000/= X 6 BEI LAKI TANO KODI MIEZI 6 NA BONDI YA MWENZI MMOJA
🏘️ APARTMENT NZURI YA KISASA UPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
__
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343