Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(500,000X6) KIMARA MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA NI YA KUHAMIA TUU INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
ZIPO NYUMBA MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#GARDENI
#PARKING
BEI NI 500,000/= X 6 ,,BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA NA ITAKATWA KWENYE MALIPO YA MIEZI 6 ITAHESABIKA MIEZI 5
💫💫 NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453