Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HAYA NIMEISHUSHA BEI
APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
DK 10 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 500,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 3 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA DINNING
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
KUONA ELFU 15000
UKILIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA
CAL
0713320608
0686334182