Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
BEI NI 500,000/= X 6
=========
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 500,000/= X 6
=========
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
======
CANT
0683234124
0718367179