Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam




APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
350K X6
📞0
LOCATION 👉 MBEZI KWA MSUGURI
KM 1.2
BARABARA YA ZEGE 🏂🏂
💥SIFA ZAKE💥
**************
..VYUMBA VITATU 3...KIMOJA NI MASTER
...SEBULE
...JIKO
...PUBLIC TOILET YA NDANI
UMEME MAJI INAJITEGEMEA✔️
MAJI YANAFLOW KOTE✔️
TANK LIPO JUU ✔️
IPO NDANI YA FENCE ✔️
PARKING IPO✔️
USAFIRI...BAJAJ 700 ukishuka dk
4 tuu....BODA BUKU
KUTEMBEA DK 15 KWA MIGUU kutoka STAND YA MWENDOKASI MPK NYUMBANI.
NB: PICHA ZA NDANI BAADAE
..PIA BAADA YA MALIPO ITAFANYIWA UKARABATI
SERVICES 15K
USISAHAU PESA YA DALALI 350K UKILIPIA
#0710614924
#0688653940