Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/=x6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 350,000/=x6
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA AU UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI ZOTE NJIA UNAFIKA KWENYE NYUMBA
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA HII NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
Contact
0652472014
0652472014