Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#VYUMBA_VITATU  _VYA_KULALA#
INAPANGISHWA #APARTMENT (Tamu sana)
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-  MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI JURIANA
———————————————————
KODI  TSHS ML 1,100,000/=KWA MWEZI
________________
MALIPO YA MIEZI  8
————-
APART YA KISASA
_________________
KUBWA YA KIFAMILIA 
______
YENYE:-
Vyumba vitatu vya kulala,  # Master yenye Kabati#Sebule kubwa#  Jiko, #Choo/#Bafu vya ndani public herter maji moto
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows 
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks 
FencedApart 
Garden 
____________
Nione 
dalalimbezibeach_ibra
0743688011
______
Pia viwanja vinapatikana vya KUNUNUA
🙏



















