Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
Apartment zinapangishwa TSH 800,000/=
Zipo mbezi stendi ya magufuli
Vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom
Jiko sebule public toilet
Maji na umeme inajitegemea
Nipigie 0734277368