Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


📣 Apartment Nzuri ya Kisasa Inapangishwa
MBEZI MWISHO karibu Na Stand ya Mabasi ya Mikoani
📍 Kodi Tsh 800,000/= ×6
_
___________
• Vyumba 3 vya Kulala (Kimojawapo ni Master)
• Sebule
• Jiko la kisasa
• Dinning
• Choo na Bafu vya Public
* A/c Sebuleni na kwenye Master
* Heater ya Maji ya Moto
* Garden
* Inajitegeme UMEME na Maji
* Parking Kubwa
* Mazingira Tulivu
#Umbali wa Mita 800 tu kutoka Magufuli Bus Stand
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 800,000/=
#Kupelekwa kuona ni 20,000/=
#0753172516