Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA NA ZIPO MBALI MBALI
BEI NI 250,000/= X 6
đź’«đź’« NYUMBA HII IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KUELEKEA MPIGI MAGOHE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 USAFIRI NI BAJAJI AU DALADALA NA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0753 989554
0773700963
====