Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH YA JUU GOROFANI #350K
Vyumba 3 vya kulala vyote master bedrooms
Sebule kubwaa
Dinning
Jiko
Public toilet
Kodi 350,000 kwa mwezi Γ 6
Umbali km 1 boda boda 1000 bajaji 500
Inajitegemea umeme na maji
Ndani ya fence parking ipo
Kupelekwa kuona nyumba elf 15
0679447338
0753454167