Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 350,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA AU UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI ZOTE NJIA UNAFIKA KWENYE NYUMBA
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA HII NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI