Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT
INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH AFRICANA
UPANDE WA CHINI
______________
KODI ML 1.5 KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
_____________
KUBWA YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba 3vikubwa vya kulala #MASTA 1 #Sebule kubwa #dinning #Jiko zuri lenye #makabati #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks #Garden
#FencedHouse
#0657394291whatsapp
dalali_bwakila_mbezi_beach_tz