Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbuyuni, Morogoro







APARTMENT NZURI YA KISASA YA FAMILIA IPANGISHWA SALASALA MBUYUNI BEI NI 500,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#AIR- CONDITION
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 500,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO SALASALA MBUYUNI NA KUTOKA BAGAMOYO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15k NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710