Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa:
(Zipo Tatu Kwenye fence)
Location :: MBWENI UBUNGO
Bei yake :: 900,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Kimoja Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans & Air Conditions
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Cctv Cameras
🌡️Remote Gate
🌡️Electric Fence
0743688011
PIA kuna vyumba vitatu Bei 1,000,000