Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA (APARTMENT ZIPO TATU TU)
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA (KIMOJA MASTER) VYUMBA VYOTE VINAFENI, SEBULE YENYE FENI, DINING NA JIKO KUBWA.
UMEME MITA INAJITEGEMEA, MAJI YAPO MASAA 24 NA PARKING SPACE KUBWA.
LOCATION: PUGU KONA.
KODI: 200000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI 6.
SERVICE CHARGE 10000.
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111