Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA (NI APARTMENT)
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA (VIWILI MASTER VINA KABATI) SEBULE KUBWA, DINING NA JIKO LENYE KABATI.
MAJI DAWASA TENKI LIPO NA PARKING KUBWA YAKUTOSHA.
KODI: 350000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU SHULE YA MSINGI.
PIGA SIMU: 0788156493 0614130017 0760053111