Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







WAI MAPEMA KWA SASA KODI NI 500,000/= X6
NI APARTMENT NZURI KUBWA YA FAMIsLIA INAPANGISHWA
NI IYO YA JUU
KODI NI 500,000/= KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA KAMILI
NYUMBA IPO TABATA KISUKURU MAJI CHUMVI HII BRBR YA KUJA KWA MKUA
UMBALI WA DK 3 TU KUTOKA BRBR YA LAMI
Sifa zake :-
=========
VYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
NYUMBA IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN
NYUMBA ITAKUA TIAR KUINGIA BAADA YA WEEK MOJA KUTOKA LEO ILA KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.