Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







MAFUNDI WAPO KAZIN KWA KASI YA 5G
NI APARTMENT NZURI KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA
NI IYO YA JUU
KODI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI NANE (8)
NYUMBA IPO TABATA KISUKURU MAJI CHUMVI HII BRBR YA KUJA KWA MKUA
UMBALI WA DK 3 TU KUTOKA BRBR YA LAMI
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
NYUMBA IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN
NYUMBA ITAKUA TIAR KUINGIA BAADA YA WK MOJA KUTOKA LEO ILA KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT