Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI 350K X6
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA
# MASTER HAKUNA HAPA❌
#DINING SEHEM YA KULIA CHAKULA
#JIKO
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA SHATA YENYE HEWA SAFI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION UBUNGO EXTRENAL JESHINI BODA BUKU BAJAJI 500 NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
CONTACT
0742260844
0657384670