Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa UBUNGO EXTERNAL
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking yakutosha
Kodi 450,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.