Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Ukonga, Dar Es Salaam
NYUMBA (APARTMENT 3) TATU ZINAUZWA ZOTE PAMOJA UKONGA MOMBASA DAR ILALA
👉👉BEI MILLION 55👈👈
📍0.3 KM KUTOKA LAMI
APARTMENT ZIKO TATU NDANI YA FENSI NA ZOTE ZINA WAPANGAJI
📌JUMLA YA VYUMBA VYA KULALA NI 8📌
✔️APARTMENT YA KWANZA INA SEBULE KUBWA, DINNING ROOM, VYUMBA VITATU VYA KULALA #MASTA MOJA, JIKO NA CHOO CHA PUBLIC
✔️APARTMENT YA PILI INA SEBULE, CHUMBA KIMOJA CHA KULALA CHENYE CHOO CHAKE NDANI - HAPO ZIPO X2
✔️APARTMENT YA TATU INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA CHENYE CHOO CHAKE NDANI
✔️KILA APARTMENT INAJITEGEMEA MAJI NA UMEME
WHATSAP AU PIGA
0788156493
0614130017
0760053111