Apartment ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam







Aina
Apartment
Vyumba
4
Huduma na Sifa
Maelezo
NZURI ZINAPANGISHWA –
📍 Location: Mbezi Mwisho
📌 Umbali: Dakika 5 tu kutoka Alami
✨ Apartment zipo 3 ndani ya fensi moja (zimepangwa kwa nafasi nzuri – kila moja iko mbali na nyingine kwa privacy)
🔹 Apartment ya Kwanza:
Vyumba 4 vya kulala
Sebule kubwa dininng
Jiko kubwa
💰 Kodi: Tsh 500,000
🔹 Apartment ya Pili & Tatu:
Vyumba 3 vya kulala
Sebule dininng
Jiko kubwa
💰 Kodi: Tsh 600,000
🌟 Sifa za Ziada:
✔ Kila apartment ina mita yake ya umeme
✔ Maji yapo ndani ya fensi
✔ Maeneo yamewekwa paving block
✔ Mazingira tulivu na salama
✔ Privacy nzuri (hazibananani)
📞 PIGA SIMU SASA: 0XXXXXXXXX
👉 Serious tenants only
Kwanda kuona 20k malipo ya mwezi kwa agent
Contact 📲
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747




















