Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
Vyumba vinne vya kulala 2 master
IPO bunju b dar es salaam Tz.
Bei lk 400,000. KWA MWEZI
Malipo ya miezi 6.
_________________
Muundo wa Nyumba;-
Vyumba vinne vya kulala 2 master
Sebule kubwa
Jiko lenye kabati
Dinning room
Public toilet
Mazingira mazuri
__________________
πIPO BUNJU B
BEI NUMBER
#0688396025whatsp