Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIBAMBA CHAMA KM 1 KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 4 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa
Stoo
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
---------
Kodi 200,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2
----------
#0785889413
#0785889413𝑊𝒉𝑎𝑡𝑠_𝐴𝑝𝑝📲📲