Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kisiwani
<> nyumba ina ina vyumba vinne viwili master sebule dining na jiko full ac (stand alone)
✅nyumba iko fenced
✅nyumba Ina parking
✅nyumba ina electric ⚡️
✅nyumba ina jitegemea
✅nyumba nzuri na ya kisasa
<> asking price tsh,, 700k per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> services charge 20k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837


















