Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


House for rent stand alone inajitegemea geti yake Kali Sana nzuri
Location kimara temboni km 2 usafiri upo
Kodi 500000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 4 moja ni Master bedroom
Sitting room
Daning room
Kitchen with cabinet
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128