Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HII NYUMBA KUBWA SANA YA KIFAMILIA INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA MWISHO
UMBALI DAKIKA 10 KWA MGUU
INA VYUMBA VINNE VYA KULALA
VIWILI VYOTE MASTER
PUBLIC TOILET NA BAFU VYA NDANI NA NNJE
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
STORE KUBWA
HEATER YA MAJI
PACKING SPACE KUBWA NA GARAGE YA GARI
KODI NI 700,000X6
MAFUNDI WAPO KAZINI KWAAJILI YA MAREKEBISHO YOTE
NA KUPIGA POLISH TAILS NA MILANGO
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
##0655256419
##0760830706