Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Majengo, Dodoma







*NAUZA KIWANJA NA MAJENGO*
VINAPATIKANA UDOM NGONGONHA UJASI SENTA
SIFA ZA SITE HII
👆UWANJA NI 1800SQM
👆KUNA MAJENGO MATATU
👆KILA JENGO LINA ROOM 4
*👆KILA CHUMBA KINA CHOO,JIKO NA VELLANDER*
👆KUNA TRIP 3 ZA KOKOTO
👆KUNA TRIP ZA MCHANGA
👆KUNA MASHIMO MAKUBWA YA CHOO MAWILI(YAMEJENGWA)
*👆ENEO LA KUJENGA LIMEBAKI KUBWA SANA LA KUTOSHA VYUMBA ZAIDI YA 20*
👆ENEO LIPO KARIBU KABISA NA CHUO CHA UDOM,SENTA YA WANAFUNZI(UJASI),NA BENJAMIN MKAPA HOSPITAL
👆HUDUMA MUHIMU ZOTE ZIPO SITE
👆BEI YA CHUMBA KWA HAPA NI 100000_120000
*👆MOJA YA SEHEMU PENDWA KWA*
👉wanafunzi(udom)
👉 wanafunzi (bmh)
👉Wafanyakazi(udom,bmh,jeshi)
👉wafanyabishara
*BEI NI 57ML TU*
ENEO HILI NI ZURI SANA KWA BIASHARA (NYUMBA ZA KUPANGISHA) MHITAJI TUWASILIANE MAPEMA TUFANYE BIASHARA
KARIBU SANA INBOX KWA MAELEKEZO ZAIDI



















