Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Makambako, Njombe





Makambako, Njombe CBD, Njombe
6 days ago
Sh. 27,000,000
LEO NAKULETEA NYUMBA HII HAPA INAUZWA:-
UWANJA MITA 47 KWA 40
MAJI NA UMEME VIPO
NYUMBA IPO USON MWA BARABARA
YAPILI TOKA LAMI NDOGO ZA MTAA
INA VYUMBA VINNE KULALA
SEBULE KUBWA DINING NA JIKO
HUWO UWANJA UNAWEKA NYUMBA MBILI ZA KUPANGISHA SAFI
BEI LETE MILION 27 NAKUPISHA UHAMIE
#NYUMBA IPO MAGEGELE#
0753930696/0623775454
BY Kipuge Dalali Makambako
And Japhet Kipuge