Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAPANGISHWA NA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI BEI NI 400,000/= X 6
NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VINNE VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING
BEI NI 400,000/= X 6
NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KWENDA MSUMI KITUO KANISANI BAJAJI SH 1000 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 0 UPO KWENYE NYUMBA
UTALAZIMIKA KULIPA PESA YA DALALI YA MWEZI MMOJA PINDI UNAPOFANYA MALIPO YA HII NYUMBA
GARAMA ZA KUPELEKWA SITE( SERVICE CHARGE) 20.000/ TU NA ITADUMU NDANI YA WIKI MOJA TU
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347