Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI KWA MSUGURI KM1.5 KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 4 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Full air condition
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=×6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
------------
Contact
📞#0676_218580(WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏