Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
(500,000) MBEZI MWISHO MAGUFURI DK CHACHE TU
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE
KWENYE FENSI KUBWA YA WAYA NA GETI LAKE ZURI INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#STORE
#GARAGE
#PARKING KUBWA
#KAMA MFUGAJI HAPA NDIO MAHALA PAKE KUNA ENEO KUBWA SANA
BEI NI 500,000/= X 6
🇹🇿🇹🇿 NYUMBA HII IPO MBEZI MWISHO JIRANI KABISA NA STAND KUBWA YA MABASI YAENDAYO MKOANI (MAGUFULI BUS TERMINAL) NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0715949085
0782838336