Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
:
NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE
NYUMBA IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA
UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/02/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING
BEI NI 500,000/= X 6
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA KWENYE HII NYUMBA NA NJIA ZOTE NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168