Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA 500,000/= X 6

🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

# VYUMBA 4 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24

BEI NI 500,000/= X 6

💫💫 NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA IPO MBEZI SHULE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA KUTOKEA GOBA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

=====

CALL

0683234124

Dalali Bony Kimara Mbezi
dalali_bony_kimara_mbezi
Dalali Bony Kimara Mbezi

Similar items by location

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT KALI KABISA INAPANGISHWA HII SIYOO YA KUACHALOCATION:MBEZI MWISHO NJIA YA KWENDA MJIPI ( M...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT KALI KABISA INAPANGISHWA BEI YA KUTUPA KABISAA NYUMBA NI MPYA NA UPYA WAKELOCATION:MBEZI M...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

#KIWANJA_KINAUZWA#MAHALI MBEZI BEACH UKUBWA SQM 1235BEI KINAUZWA ML 120Maongezi yapo Contact 🇹🇿#06...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGULI KM1 KUTOKA LAMI ------Chumba master Seble kubwa Tiles Gyp...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 650,000

(650,000X6)MBEZI KWA MSUGURI 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, NJIA NI ZEGE➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖NYUMBA KUBWA YA KIFAMIL...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 22,000,000

BEI MILIONI 22 NDIO BEI YA MWISHO =============MAONGEZI YAPO KIDOGO=============KIWANJA KINAUZWA KIP...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 15,000,000

Nyumba Pagale Lina Uzwa Mbezi Mpigi machimbo Location Mbezi Mwisho Mpiji Kituo MachimboBei Million...

Nyumba/Apartment (Furnished) ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 200,000

#2BEDROOMS (FULLY FURNISHED)APARTMENT INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH SHOPPERS P...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 52,000,000

Million 52. 0759151524Nyumba inauzwa ipo mbezi mwisho msumi 📍Ina: 2 bedroom ✅ 1 master room ✅ Sitt...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 52,000,000

Million 52. 0759151524Nyumba inauzwa ipo mbezi mwisho msumi 📍Ina: 2 bedroom ✅ 1 master room ✅ Sitt...