Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


STAND ALONE ..800,000x6 kamili
MBEZI MWISHO
UELEKEO WA KINYEREZI
KITUO..MAKUTI/ SHELI YA OLYMPIC
HIII NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE YENYEWE NI KUBWA SANA KWA FAMILIA
#SEBULE KUBWA SANA
#VYYMBA 5 VYA KULALA
📍 VYUMBA VIWILI VIPO CHINI
NA CHOO CHA PUBLIC
📌VYUMBA VITATU VIPO JUU
✔️KIMOJA NI MASTER BEDROOM
✔️PIA KUNA PUBLIC TOILET YA JUU
#JIKO KUBWA
#DAINING TABLE
#STORE
#CHOO NA BAFU VYA FAMILIA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA IPO NDANI YA FENSI YAKE PARKING KUBWA
#INAJITEGEMEA KILA KITU UMEM NA MAJI
#MAJI DAWASA SIMTANK ZA KUTOSHA
#LOCATION MBEZI MWISHO NJIQ YA KINYEREZI UKISHUKA KWENYE BAJAJI AU DALADALA NI DAKIKA 4 TU UPO NDANI KWA KUTEMBEA
#BEI NI 800,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
📍📍 NYUMBA HII INARUDIWA RANGI YOTE [ NDANI NA NJE ] PINDI UTAKAPOLIPIA TU
piga 0656471973