Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam


Nyumba hii ipo mbweni teta ina vyumba Vinne vyumba viwili ni masta inapangishwa USD 1000 kwa mwezi malipo miezi 6 piga namba hizi kwa maelezo zaidi
0718809744
0784234971
0762447173 Dalali Tegeta