Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







#NYUMBA INAPANGISHWA LAKI 3 KWAMWEZI. Location Pugu Kwa Mustafa Dar es salaam. Vyumba 4 Kimoja Master. Sitting room jiko Dining room na Public Toilet. Nyumba Ina Tiles na jypsum. Nyumba Ina umeme na maji safi. Mkataba Kodi ya Miezi 6. Umbali kutoka Main road Hadi Kwenye Nyumba ni dakika 3 Kwa Miguu.