Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


STAND ALONE HOUSE FOR RENT 
Loc:sinza
Price:1,000,000 per month 
Term:six month 
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja 
Classification:
Vyumba 4 vya kulala kimoja master sebule jiko tiles gypsum board madirisha ya kioo ndani ya fensi parking kubwa parving block 
Fanya Kazi na Dalali smart, kazi zimenyoka 
For more info:
Call:0688037829👈
Call:0718123756👈




















