Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Maji Chumvi.
(IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vinne (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko
- Public toilet
- Water reserve tank
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Njee kwenye master kuna balcony
- Dakika 2 kutoka kituoni
KODI 800,000/=.
MUHITAJI PIGA ๐ 0688 412 890.