Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE UBUNGO EXTERNAL NJIA YA MAJI CHUMVI DK3 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 4 vya kulala 2 master bedroom
Sebule kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa
Public toilet
Full air condition
Slide window
Luku yako
Tiles
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000 /=
Kodi 1,000,000/=ร6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 1
----------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#Dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐