Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Stand Alone Inajitegemea fancy yake Mwenyewe INAFAA Office NK
Location Ubungo External Maji Chumvi Road Usafiri ni Bajaji na na Daladala Ukishuka Unapiga take Nyumba
Kodi 800000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 4 za Kulala Moja ni Master Bedroom
Sitting Room Kubwa
Dining room table
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Bafu
Luku yake
Fully A/C Sebuleni
Room 2 Zina A/C
Maji Dawasa ndani na Kisima Soft yapo
Savant Kota ya Chumba na Sebule Choo Pembeni
Parking space fancy
Pavin Block
Good environment
Dalali Makini Ubungo Riverside
0712500602
0755336565