Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Buswelu, Mwanza


NYUMBA INAUZWA BUSWELU WILAYANI
-ina vyumba vinne vya kulala ( viwili ni masterbed room ), sebule, jiko, stoo, dinning na public toilet
-Pia kuna servant quater ya chumba kimoja self contained, sebule na jiko
-ukubwa wa kiwanja ni 640 Sqm
-kiwanja kimepimwa tayari
-bei Milioni 170
☎️ 0743220097