Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Chanika, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA 75 MILIONI CHANIKA DSM
Features...
Vyumba Vinne
Kimoja master
Sebule
Dining
Kitchen
Store
Public toilet
Eneo square meters 900
Maji kisima uhakika
Ipo Chanika Lubakaya Ilala Dar es Salaam
For more details call/WhatsApp 0713066000 0753066000
Viewing charge 20k