Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Goba, Dar Es Salaam
NEW HOUSE FOR SALE
Loc:Goba njia ya makongo
Price: milioni 550
Eneo:SQM 1200
Documents: clean
Umbali:mita 300 to main road
Note:(zingatia)
50,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa ya dalali 10 percent
Classification:
Vyumba 4 vya kulala vyote master, sebule jiko kubwa dining nyumba nzuri kubwa ya kisasa unalipa na kuamia nyumba ya kisasa kabisa full paving block parking kubwa
Fanya kazi na Dalali smart, kazi zimenyoka
For more info:
Call:0718123756👈
Call:0688037829👈