Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibaha, Pwani







NYUMBA NNE PAMOJA, PLOT SQM.4,450, TSHS.130 MILIONI, KIBAHA.
Hapa ni KIBAHA KWA-MATHIAS.
Umbali ni wastani wa kilomita 1.5 kutoka Barabara ya Morogoro.
Eneo lote limezunguushiwa Fensi.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Nyumba moja Ina vyumba 4 ( 2 Vyoo ndani)
Hizo nyingine 3 zimejengwa mithili ya Ghala la kuhifadhia Bidhaa.
Umiliki ni OFA.
Unaweza kugawanyisha kufanya vyumba ukipenda.
Unaweza pia kufanya shughuli kama Nyumba ya Wageni, Zahanati, Shule ya Watoto nk.
Wahi ukague mapema hii Bei IMEPOROMOSHWA.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.