Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
KIGAMBONI TOANGOMA
BOMA LA NYUMBA KUBWA
NA VYUMBA VYA NYUMA
ENEO: SQM 1500
NYUMBA INA VYUMBA VINNE, KIMOJA MASTER, SEBULE KUBWA, JIKO, DINNING, PUBLIC TOILET NA STORE.
NYUMBA NDOGO YA NJE INA VYUMBA VIWILI NA SEBULE
ENEO KUBWA LIMEBAKI
UNAWEZA KUJENGA VYUMBA VYA WAPANGAJI NA FREMU ZA BIASHARA
DALADALA ZINAPITA HAPO HAPO
UMILIKI: HATI YA MAUZIANO
BEI: TSH 42,000,000
Maongezi yapo
Mawasiliano
0786133399
0716133399