Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
HOUSE FOR SALE KIGAMBONI GEZA ULOLE
DETAILS : NYUMBA NI YA GHOROFA, YA VYUMBA NANE, CHINI KUNA VYUMBA VINNE, KIMOJA NI MASTER KUBWA SANA,SITTING ROOM, DINNING, PUBLIC TOILET JIKO KUBWA NA STOO PIA, JUU PIA KUPO HIVYO HIVYO KAMA CHINI PIA, KUNA VYUMBA VINNE, KIMOJA MASTER KUBWA, PUBLIC TOILET, SITTING ROOM KUBWA, DINNING, JIKO NA STOO
SIZE : UKUBWA WA ENEO NI SQUARE METER 800
NYUMBA INA HATI YA WIZARA
BEI MILIONI 500 MAONGEZI YAPO
KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE ☎️📲 0753999903