Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X6)KIMARA TEMBONI 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖
NIMEISHUSHA BEI NJOO WAH NA MTEJA WAKO
SIFA
VYUMBA 4VINNE VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER
SEBULE KUBWA
DAINING
JIKO KUBWA
PABLICK NDANI
NA NJE
BANDA LA KUFUGIA KUKU
BEI 400k X6
ILIPIWE LAKI NNE MIEZ SITA
UMBALI KUTOKA MAIN ROAD KM1
DK 15 KWA MGUU
NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBN UPANDE WAKULIA KAMA UNATOKA MJINI
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453