Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI INAUZWA KIMARA MWISHO
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASI NI KM 2.5 USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA BODA,BAJAJI NA DALALLDALA ZIPO
NYUMBA INA VYUMBA VINNE VYA KULALA VYOTE MASTER SEEBULE KUBWA DINING ROOM KUBWA JIKO KUBWA LAKISASA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
PEMBENI KUNA SERVANT COARTER YA CHUMBA KIMOJA MASTER
UKUBWA WA ENEO NI SQM.600
BEI NI ML. 60 MAONGEZI YAPO KIDOGO
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZ'S 30K
CONT 👇
0713661530_0783661530